Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne mwaka sasa wanaweza kuangalia Selection Kidato cha Tano 2026 shule walizopangiwa na vyuo kupitia mfumo rasmi wa TAMISEMI. Kupitia mfumo huu, wanafunzi wanaweza kuona majina yao, shule au chuo walichopangiwa pamoja na combination watakayosomea kwa mwaka wa masomo 2026/2027.
Selection hizi hutolewa rasmi na TAMISEMI baada ya kuchakata matokeo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa Kidato cha Nne. Mbali na shule za Advanced Level, baadhi ya wanafunzi hupangiwa vyuo vya kati kulingana na ufaulu na uchaguzi wao.
Tamisemi Form five Selection 2026
Ili kuangalia majina ya waliochaguliwa, fuata hatua hizi rahisi:
| ARUSHA | DAR ES SALAAM | DODOMA |
| GEITA | IRINGA | KAGERA |
| KATAVI | KIGOMA | KILIMANJARO |
| LINDI | MANYARA | MARA |
| MBEYA | MOROGORO | MTWARA |
| MWANZA | NJOMBE | PWANI |
| RUKWA | RUVUMA | SHINYANGA |
| SIMIYU | SINGIDA | SONGWE |
| TABORA | TANGA |
Angalia Taarifa za Ulichopangiwa
Baada ya kufungua majina ya selection utaweza kuona taarifa muhimu kama:
- Jina lako kamili
- Shule au chuo ulichopangiwa
- Combination au tahasusi uliyopewa
- Joining instructions za kujiunga
Faida ya Mfumo wa Online wa TAMISEMI
Mfumo wa online wa TAMISEMI umesaidia wanafunzi wengi kupata taarifa zao kwa haraka zaidi bila kwenda mashuleni au kwenye ofisi za serikali. Kupitia mfumo huu unaweza:
- Kuangalia selection muda wowote
- Kupakua taarifa za joining instructions
- Kuhifadhi taarifa zako kwa urahisi
- Kujua shule au chuo ulichopangiwa mapema
Selection Kidato cha Tano 2026 shule walizopangiwa na vyuo zinapatikana rasmi kupitia mfumo wa TAMISEMI. Wanafunzi wote waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2025 wanashauriwa kutumia portal rasmi ya TAMISEMI kuangalia majina yao, shule walizopangiwa pamoja na combination zao kwa usahihi zaidi.