Katika mwaka wa 2025, Serikali ya Tanzania ilitangaza maboresho ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma. Miongoni mwa ngazi maarufu ni TGS A, ambayo ni sehemu ya “Technical Government Staff” (TGS). Hii blog itachambua ni ngazi gani TGS A inawakilisha, viwango vya mishahara, umuhimu wake, na jinsi inavyoathiri watumishi wa serikali.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Viwango vya Mishahara ya TGS A Salary Scale
| Ngazi ya Mshahara | Mshahara |
| TGS A.1 | 380,000 |
| TGS A.2 | 388,500 |
| TGS A.3 | 397,000 |
| TGS A.4 | 405,500 |
| TGS A.5 | 414,000 |
| TGS A.6 | 422,500 |
| TGS A.7 | 431,000 |
| TGS A.8 | 439,500 |
Kumbuka: Hii ni mshahara wa msingi (basic salary), na haijumuishi nyongeza za vitendo, motisha, au marupurupu mengine ya serikali.
Soma pia: