Ofisi ya Rais – TAMISEMI imetangaza majina ya walimu 128 waliochaguliwa kwa nafasi za kujitolea mwaka 2025, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuongeza nguvu kazi kwenye shule za msingi na sekondari nchini. Walimu hao wamechaguliwa kusaidia kupunguza upungufu wa walimu uliopo katika baadhi ya maeneo hasa vijijini, huku wakipata fursa ya kupata uzoefu wa kazi na kujiandaa kwa ajira rasmi serikalini.
Incase your browser not showing or failed to view attached PDF file above click here to view or download PDF file
TAMISEMI imewataka walimu wote waliopata nafasi hizo kuripoti katika vituo walivyopangiwa kwa wakati, kuzingatia maadili ya kazi, na kutoa huduma bora kwa wanafunzi kwa moyo wa kujitolea na uzalendo.
Soma pia: