Orodha ya majina wa form six – Kidato cha Sita waliopata Mkopo awamu ya kwanza pdf Bodi ya Mkopo HESLB mwaka huu 2025-2026 awamu ya kwanza
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza majina ya wanafunzi wa Form six ambao ndio waombaji ambao wamethibitishwa kupata mikopo kwa waliohitimu kwa ajili ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025‑2026.

Majina hayo yatapatikana kupitia orodha rasmi ambayo HESLB itachapisha kwa umma, na wanafunzi wanashauriwa kufuatilia akaunti zao za SIPA au mfumo wa OLAMS ili kujua ikiwa wamejumuishwa kwenye wa walionufaika.
BONYEZA HAPA KUANGALIA MAJINA WALIOPATA MKOPO
Wakati huu, HESLB inaendelea na ukaguzi na maandalizi ya orodha hizo, ikiwa ni pamoja na uhakiki wa sifa za waombaji na ulinganishaji wa taarifa zao na vigezo vilivyowekwa.
Hivyo wanafunzi wanaotarajia wanashauriwa kuwa wa makini na taarifa kutoka HESLB na kuangalia mara kwa mara ili wasikose kupokea taarifa wakati majina yatakapochapishwa.