Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kinachojulikana pia kama Chuo cha Usafirishaji Dar es Salaam, kinatoa kozi mbalimbali za udereva kwa mwaka wa 2025/2026. Hapa tunakuletea mwongozo wa ada, muda wa kozi, pamoja na gharama za ziada unazopaswa kuwajua kabla ya kujiunga.
Aina za Kozi na Ada zao
Kwa mujibu wa taarifa za NIT, hizi ndizo kozi kuu zinazotolewa na ada zao:
Kozi | Ada (TZS) | Muda |
---|---|---|
Basic Driving Course | 200,000 | Siku 11 |
PSV (Passenger Service Vehicle) | 200,000 | Siku 11 |
HGV (Heavy Goods Vehicle) | 515,000 | Siku 15 |
VIP (Advanced Driver Grade II) | 400,000 | Wiki 4 |
Advanced Driver Grade I | 420,000 | Wiki 4 |
Senior Driver Course | 450,000 | Wiki 6 |
Driver Instructor | 600,000 | Wiki 10 |
Forklift Operator’s Training | 400,000 | Siku 5 |
BRT (Bus Rapid Transit) | 300,000 | Siku 7 |
Gharama za Ziada
Kando na ada ya kozi, kuna gharama nyingine kama:
- Ada ya maombi: TSH 10,000 (isiyorejeshwa)
- Ada ya pre-test: TSH 20,000 (kwa kozi za PSV, HGV, VIP)
- Malipo yote hufanyika kupitia mfumo wa GePG kwa kutumia namba ya malipo (Control Number) kutok
Ada za mafunzo ya udereva NIT zinagharimu kati ya TSH 200,000–600,000, kulingana na aina ya kozi. Ni muhimu kuzingatia gharama za ziada kama ada ya maombi na pre-test, na kupanga malipo mapema kupitia GePG. Weka taarifa zako sawa ili kupata kozi kwa urahisi zaidi.
Soma pia: