Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Uhasibu Tanzania (Tanzania Institute of Accountancy – TIA) kwa mwaka wa masomo 2025 yametolewa rasmi. Orodha hiyo inahusisha waombaji waliokidhi vigezo vya udahili kwa kozi mbalimbali katika ngazi ya cheti, stashahada, na shahada. Wanafunzi waliopata nafasi wanatakiwa kuthibitisha udahili wao kupitia mifumo ya NACTVET (kwa ngazi ya cheti na stashahada) au TCU (kwa shahada), kulingana na ngazi ya masomo waliyochaguliwa. TIA inawapongeza wote waliopata nafasi na inawakaribisha kwa mikono miwili kujiunga na chuo hiki kinachotambulika kwa kutoa mafunzo ya ubora katika fani za uhasibu, fedha, biashara, ununuzi, na menejimenti.
Bonyeza hapa kupata Majina waliochaguliwa TIA 2025 Round ya kwanza >>>https://www.tia.ac.tz/
Soma pia kuhusu: