By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
vacancy Forumvacancy Forumvacancy Forum
Search
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Viwango vya mishahara ya wauguzi (Manesi) 2025
Share
Sign In
Notification Show More
Font ResizerAa
vacancy Forumvacancy Forum
Font ResizerAa
Search
Have an existing account? Sign In
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Viwango vya Mishahara

Viwango vya mishahara ya wauguzi (Manesi) 2025

admin
Last updated: April 14, 2025 12:41 pm
admin
Share
SHARE

Viwango vya mishahara ya wauguzi hutofautiana kulingana na uzoefu, kiwango cha elimu, eneo la kazi, na sera za mwajiri. Kwa ujumla, wauguzi wenye shahada ya juu au waliobobea katika fani maalum hupata mishahara ya juu zaidi ikilinganishwa na wale walio na mafunzo ya msingi. Katika maeneo ya mijini au hospitali za kibinafsi, mishahara huwa juu zaidi kuliko katika maeneo ya vijijini au vituo vya afya vya serikali.

Contents
Viwango vya mishahara ya wauguziViwango vya mishahara ya wauguzi wa Astashahada (Certificate)Viwango vya mishahara ya wauguzi wa Stashahada (Diploma)Viwango vya mishahara ya wauguzi wa Shahada (Degree)

Hata hivyo, licha ya mchango mkubwa wa wauguzi katika sekta ya afya, changamoto bado zipo kuhusu kulipwa kwa haki na kwa wakati, jambo linaloathiri motisha na utendaji wao kazini. Serikali na taasisi binafsi zina jukumu la kuhakikisha wauguzi wanalipwa mishahara stahiki ili kuboresha huduma za afya kwa jamii.

Viwango vya mishahara ya wauguzi

Tukizungumzia viwango vya mishahara ya wauguzi inategemea na Kiwango cha Elimu, Kuna wauguzi wa Astashahada (certificate), Stashahada (Diploma) na Shahada (Degree) leo tutazungumzia kwa viwango vyote vya Elimu.

Viwango vya mishahara ya wauguzi wa Astashahada (Certificate)

Muuguzi aliyesoma hadi Astashahada yaani certificate of nursing and midwifery atalipwa kwa ngaziya mshahara wa TGTS B, na mgawanyiko wa hela kama ufuatavyo:

TGTS B

TGTS B.1479,000
TGTS B.2489,000
TGTS B.3499,000
TGTS B.4509,000
TGTS B.5519,000
TGTS B.6529,000

Viwango vya mishahara ya wauguzi wa Stashahada (Diploma)

Hii ngazi ya pili kwenye sekta ya uuguzi, Muuguzi aliyesoma hadi stashahada (Diploma) mshahara wake unakomea kwenye TGTS C, na mgawanyiko wa hela kama ufuatavyo:

TGTS C

TGTS C.1590,000
TGTS C.2603,000
TGTS C.3616,000
TGTS C.4629,000
TGTS C.5642,000
TGTS C.6655,000
TGTS C.7668,000

Viwango vya mishahara ya wauguzi wa Shahada (Degree)

Hii ndio ngazi ya juu kwenye sekta ya wauguzi, muuguzi mwenye elimu ya shahada yaani Bachelor degree in Nursing and Midwifery. Ngazi yake ya mshahara ni TGTS D na mgawanyiko wa mshahara ni kama ifuatavyo:

TGTS D

TGTS D.1771,000
TGTS D.2788,000
TGTS D.3805,000
TGTS D.4822,000
TGTS D.5839,000
TGTS D.6856,000
TGTS D.7873,000
TAGGED:nursing salaryViwango vya mishahara ya wauguzi (Manesi)

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Share This Article
Facebook Copy Link Print
Previous Article 20250413 222647 Viwango vya mishahara ya madaktari 2025
Next Article 20250414 122628 Nafasi za kazi Mwanga Hakika Bank 2025
Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Latest News

Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Kilichopotea Tanzania
Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Kilichopotea Tanzania
Makala mbalimbali
Kocha anayelipwa mshahara Mkubwa Tanzania NBC Premier League
Kocha anayelipwa mshahara Mkubwa Tanzania NBC Premier League
Makala mbalimbali
Mishahara ya Wachezaji wa Simba SC 2025/2026
Mishahara ya Wachezaji wa Simba SC 2025/2026
Makala mbalimbali
Mishahara ya Wachezaji wa Yanga SC 2025/2026
Mishahara ya Wachezaji wa Yanga SC 2025/2026
Makala mbalimbali

You Might also Like

20250413 222647
Viwango vya Mishahara

Viwango vya mishahara ya madaktari 2025

1 Min Read
Mshahara wa mkuu wa wilaya
Viwango vya Mishahara

Mshahara wa mkuu wa wilaya: Mkuu wa Wilaya analipwa kaisi gani?

1 Min Read
Mshahara wa wabunge Tanzania
Viwango vya Mishahara

Mshahara wa wabunge Tanzania: mbunge analipwa kiasi gani?

1 Min Read
Mshahara wa mkuu wa mkoa
Viwango vya Mishahara

Mshahara wa mkuu wa mkoa: Mkuu wa mkoa analipwa kiasi gani?

2 Min Read
vacancy Forumvacancy Forum
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?