Nafasi mbalimbali za kazi zimetangazwa kupitia Ajira Portal, zikiwa wazi kwa Watanzania wenye sifa na vigezo vinavyohitajika. Waombaji wanashauriwa kupitia tangazo husika kwa umakini ili kufahamu nafasi zilizopo, sifa za mwombaji, nyaraka zinazohitajika pamoja na muda wa mwisho wa kutuma maombi. Maombi yote yanapaswa kufanywa kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal kwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa kwenye kila tangazo.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA