Timu zilizofuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2025/2026 zimejumuisha klabu bora kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika baada ya kupambana vikali katika hatua za awali za mchujo.
Mechi za awalimu zimekuwa nzuri na za kuvutia timu ndogo ambazo wengi hawakuzipenda ndizo ambazo zimeonyesha kiwango kikubwa na kuwa upinzani mkubwa.
Orodha ya Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 – CAF Champions League
- Al Ahly
- Al Hilal
- St Eloi Lupopo
- Rivers United
- Petro Luanda
- Js Kabylie
- AS FAR Rabat
- Simba sc
- Yanga sc
- Mamelod Sundowns
- Esperance de Tunis
- MC Alger
- Power Dynamo
- Stade Malien
- Pyramid
- Ethiopian Insurance
- RS Berkane
- Al Ahli Tripoli
Soma pia: