Zifahamu timu zinazotoka bara la Africa ambazo zitashiriki michuano ya kombe la dunia kwa mwaka 2026 huko America. Hizi timu ni baada ya kufanya vizuri katika makundi yao na kuongoza makundi.
Orodha ya Timu za Africa zitakazoshiriki Kombe la Dunia 2026
- Algeria
- Egypt
- Ivory Coast
- Cape Verde
- Ghana
- Morocco
- South Africa
Soma pia: Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026