By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
vacancy Forumvacancy Forumvacancy Forum
Search
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Sifa za kujiunga na chuo cha usalama wa taifa
Share
Sign In
Notification Show More
Font ResizerAa
vacancy Forumvacancy Forum
Font ResizerAa
Search
Have an existing account? Sign In
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Makala mbalimbali

Sifa za kujiunga na chuo cha usalama wa taifa

admin
Last updated: April 15, 2025 5:59 pm
admin
Share
SHARE

Chuo cha Usalama wa Taifa (TISS) nchini Tanzania kinatoa mafunzo maalum kwa ajili ya kuandaa viongozi na maafisa wa usalama. Ili kujiunga na chuo hiki, waombaji wanapaswa kutimiza vigezo na sifa maalum. Hata hivyo, baadhi ya taarifa kuhusu sifa hizi hazijatangazwa wazi kwa sababu za kiusalama.

Contents
Sifa za kujiunga na chuo cha usalama wa taifa1. Uwe Uraia Wa Tanzania.2. Uwe na Afya Nzuri3. Uwe na Elimu Kuanzia Kidato Cha Nne4. Usiwe na Rekodi ya Uharifu5. Usiwe na Tatoo yoyote.Mchakato Wa Kutuma Maombi ya kujiunga chuo cha usalama wa Taifa

Sifa za kujiunga na chuo cha usalama wa taifa

Zifuatazo ni baadhi ya sifa za kujiunga na chuo cha usalama wa taifa:

1. Uwe Uraia Wa Tanzania.

Ili uweze kukubariwa kujiunga na chuo cha usalama wa taifa inchi Tanzania basi kigezo cha kwanza huwa ni uraia wa mwombaji, Hivyo basi basi kwa Tanzania lazima uwe RAIA WA TANZANIA.

2. Uwe na Afya Nzuri

Kabla hujajiunga na chuo cha usalama wa taifa lazima upitie vipimo mbali mbali za kiafya kwani lazima uwe na afya nzuri.

3. Uwe na Elimu Kuanzia Kidato Cha Nne

Pia ukitaka kujiunga na chuo hiki lazima uwe na elimu angalau kuanzia kidato cha nne na kuendelea

4. Usiwe na Rekodi ya Uharifu

Kma lengo lako ni kujiunga na chuo cha usalama wa taifa basi hakikisha ya kua hujawahi kua na tabia mbaya amabyo iliperekea kukupa rekodi ya aina yoyote ile ya kiharifu.

5. Usiwe na Tatoo yoyote.

Unapo taka kujiunga na chuo cha mafunzo ya usalama wa taifa basi hakikisha ya kua mwili wako haujawahi kuchorwa tatoo ya aina yoyote ile.

Mchakato Wa Kutuma Maombi ya kujiunga chuo cha usalama wa Taifa

Ili kutuma maombi yako ya kujiunga na chuo cha usalama wa Taifa Tanzania itakubidi ufuate baadhi ya hatua kama vile

  1. Kujza fomu ya maombi
  2. Kufanya usahiri wa mahojiano
  3. Kisha Kufanya mafunzo

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Share This Article
Facebook Copy Link Print
Previous Article Mshahara wa mkuu wa wilaya Mshahara wa mkuu wa wilaya: Mkuu wa Wilaya analipwa kaisi gani?
Next Article 20250410 134720 Nafasi za kazi Bagamoyo sugar 2025
Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Latest News

Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee Tanzania
Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee Tanzania 2025 – Bei na Gharama
Makala mbalimbali
Vifurushi vya Bima ya Afya NHIF 2025 - Bei na Gharama zake
Vifurushi vya Bima ya Afya NHIF 2025 – Bei na Gharama zake
Makala mbalimbali
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Makala mbalimbali
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Bei ya Vifurushi vya Azam TV Tanzania 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Makala mbalimbali

You Might also Like

Mabasi ya Dar kwenda Mbeya

2 Min Read

Hukumu ya Kesi ya Utapeli

2 Min Read

Kibali cha uhamisho kutoka TAMISEMI

4 Min Read
Vyeo vya Usalama wa Taifa
Makala mbalimbali

Vyeo vya Usalama wa Taifa

4 Min Read
vacancy Forumvacancy Forum
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?