Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) imetangaza fursa za ajira kwa mwaka 2026 kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika sekta ya utafiti na maendeleo. Nafasi hizi zinalenga kuimarisha uwezo wa taasisi katika kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kufanya tafiti, kutoa ushauri wa kitaalamu, na kuchangia maendeleo endelevu ya rasilimali za misitu nchini. Waombaji wanahimizwa kufuatilia tangazo rasmi la TAFORI ili kupata maelezo kamili kuhusu sifa zinazohitajika, masharti ya kuomba, na taratibu za kuwasilisha maombi yao kwa wakati.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
| S/N | Job Title |
|---|---|
| 1 | Driver Grade II (4 Post) |
| 2 | Assistant Laboratory Technician II (1 post) |
| 3 | Research Officer Grade II (Forestry) -10 Posts |
| 4 | Research Officer Grade II (Beekeeping) – 4 Posts |
| 5 | Laboratory Scientist Grade II (Non-Medical) – 4 Posts |
| 6 | Research Officer II (Entomology) – 1 Post |
| 7 | Research Officer II (Microbiology) – 1 Pos |
| 8 | Research Assistant (Entomology) – 2 Posts |
| 9 | Research Assistant (Forestry – 5 Posts |
| 10 | Research Assistant (Beekeeping) – 5 Posts |
Soma pia: