Serikali imetangaza jumla ya nafasi 3,945 za Ajira za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II (Assistant nursing Officer) kupitia Wizara, Idara Zinazojitegemea (MDAs) na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) kwa mwaka 2025. Tangazo hili ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha sekta ya afya na kuongeza upatikanaji wa huduma bora za afya katika hospitali, vituo vya afya na zahanati kote nchini.
Soma pia: