Serikali imetangaza jumla ya nafasi 131 za ajia za Mhasibu Daraja la II (Accountant) kupitia Wizara, Idara Zinazojitegemea (MDAs) na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) mwezi Oktoba 2025. Nafasi hizi zimekusudiwa kuimarisha usimamizi wa fedha za umma katika taasisi za serikali kwa kuhakikisha matumizi sahihi na uandaaji wa taarifa za kifedha kwa ufanisi. Wahasibu watakaopata nafasi hizi watasaidia kuboresha mifumo ya uhasibu, uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za serikali, huku wakitekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria na kanuni za fedha za umma.
Soma pia: