Mfumo rasmi wa kutuma maombi ya nafasi mpya za kazi na ajira kutoka TAKUKURU (PCCB). Leo tarehe 11 April 2026 Mkurugenzi wa TAKUKURU ametangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye sifa mbalimbali, maombi hayo yanatakiwa kutumwa moja kwa moja kupitia mfumo rasmi (portal) tofauti na hapo maombi hayato pokelewa.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Jinsi ya kutuma maombi ya kazi katika mfumo wa ajira TAKUKURU (PCCB) April 2026
- Bonyeza hapa kuingia katika mfumo wa maombiya ajira TAKUKURU (PCCB) >> https://ajira.pccb.go.tz/login
- Kama ni mara yako ya kwanza, tafadhari jisajili. Bonyeza hapa kujisajili >> https://ajira.pccb.go.tz/register
- Utajaza taarifa zako zote kama unavyoulizwa. Hakikisha taarifa zako zote ni za kweli.
- Ukisha maliza utabonyeza Create account
Mpaka hapo utakuwa umekamilisha kutengenza akaunti yako katika mfumo na sasa unaweza kuingia na kuendelea katika hatua zinazofuata.
Soma pia: Nafasi za kazi TAKUKURU PCCB 2026