Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa Ajira za Magereza mwaka huu 2025
Jeshi la Magereza limetangaza majina ya waombaji ajira / kazi waliochaguliwa kushiriki kwenye usaili kwa mwaka 2025, hatua inayolenga kupata watumishi wapya watakaounganisha nguvu katika kulinda usalama na kusimamia haki za wahalifu waliopo magerezani.

BONYEZA HAPA KUPATA PDF YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA USAILI JESHI LA MAGEREZA 2025
Tangazo hili limeambatana na maelekezo ya muda, tarehe na maeneo ya kufanyia usaili, huku likisisitiza umuhimu wa wahusika kujitokeza wakiwa na nyaraka zote muhimu. Hatua hii inatoa nafasi kwa vijana waliomba nafasi hizo kuonyesha uwezo wao na hatimaye kuchaguliwa kujiunga na jeshi hilo lenye jukumu kubwa kwa taifa.
Soma pia: Mfumo maombi Ajira za Magereza – ajira.magereza.go.tz tps Recruitment Portal
7 Comments
Majina ya usali jeshi la magereza
Nataka kujua kama kuna jina langu
Jinsi ya kuangalia orodha ya walioitwa kwenye usaili
Matokeo
Magereza ajira
Majina walio chaguliwa kwenye usaili
Kuangalia walioitwa kwenye usaili magereza