Hizi hapa timu zilizopangwa na yanga katika hatua ya makundi ya klabu bingwa afrika msimu huu. Timu hizi ndio zitachea na yanga kuwania nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya klabu bingwa afrika.
Kundi B
- Al Ahly Fc
- Yanga sc
- AS Far
- Js Kabylie
Soma pia: Ratiba ya Mechi za Yanga SC – Ligi kuu NBC 2025/2026