Hizi hapa timu zilizopangwa na simba katika droo ya hatua ya makundi ya klabu bingwa afrika msimu huu. Timu hizi ndio zitacheza na simba kuwania nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya klabu bingwa afrika.
Kundi D
- Espérance Sportive de Tunis
- Simba sc
- Atletico Petroleos
- Stade Malien