Author: noteswpadmin

Ikiwa unataka kuanzisha au kusajili biashara yako rasmi hapa Tanzania, moja ya mambo muhimu ni kuwa na TIN number (Taxpayer Identification Number) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Sasa, unaweza kupata TIN number ya biashara yako mtandaoni bila ya kwenda ofisini — rahisi, haraka na salama. Jinsi ya kuomba TIN number ya biashara yako online, na mahitaji unayopaswa kuwa nayo kabla ya kuanza mchakato. TIN Number ni Nini? Na Kwa Nini Unaihitaji? TIN (Taxpayer Identification Number) ni namba ya kipekee inayotolewa na TRA kwa watu binafsi au biashara kwa ajili ya kulipa kodi.Unahitaji TIN kwa ajili ya: Mahitaji ya Kuomba…

Read More

Azam TV ni moja kati ya huduma bora za televisheni kwa njia ya king’amuzi nchini Tanzania, inayotoa chaneli mbalimbali za michezo, habari, burudani na tamthilia. Ili kuendelea kufurahia huduma hii bila kukatizwa, ni muhimu kuhakikisha unalipia kifurushi chako kwa wakati. Zifuatazo ni hatua rahisi za kulipia Azam TV kwa kutumia simu kupitia mitandao tofauti ya malipo. Jinsi ya Kulipia kwa Simu Jinsi Ya Kulipia Azam TV kwa YAS Jinsi Ya Kulipia Azam TV kwa M-Pesa Jinsi Ya Kulipia Azam TV kwa Airtel Money Soma pia:

Read More

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza rasmi Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) mwaka 2025. Tangazo hilo limepokelewa kwa furaha na hamasa kubwa kutoka kwa wazazi, walimu na wanafunzi kote nchini, huku likiwa ni hatua muhimu katika safari ya elimu ya msingi kuelekea sekondari. Kwa mujibu wa NECTA, matokeo haya yanaonesha kiwango cha ufaulu kimeongezeka ikilinganishwa na mwaka uliopita, jambo linaloonesha jitihada kubwa zinazofanywa na serikali na wadau wa elimu katika kuinua ubora wa elimu nchini Tanzania. Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Wazazi, wanafunzi na walimu wanaweza kuangalia matokeo ya Darasa la Saba…

Read More

Orodha ya Majina walioitwa kufanya mafunzo ya Semina ya Kusimamia uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 katika mkoa wa Dodoma Pamoja na majimbo yake yote. Orodha hii imebeba majina ya makarani, wasimamizi na wasimamizi wasaidi. Bonyeza hapo chini kupata PDF 1. Makarani akiba2. Wasimamizi Akiba3. Wasimamizi wa wasaidizi dodoma4. Wasimamizi wasaidizi Dodoma mjini Kupata Orodha ya Mikoa Mingine Bonyeza hapa

Read More

Msimu wa 2024/2025 umekuwa wa kuvutia sana katika soka la Afrika, hasa kwa wapenzi wa soka la Tanzania. Nyota wawili waliowahi kucheza ndani ya NBC Premier League huku Fiston Mayele alikuwa Yanga na Shomari Kapombe akiwa Simba, wamekutana tena – safari hii si kama wachezaji wa timu moja, bali kama wapinzani wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa CAF Interclub 2025. Baada ya kutamba akiwa na Yanga SC kwa misimu mitatu mfululizo, Fiston Mayele alijiunga na Pyramid FC ya Misri, ambako ameendelea kung’ara katika michuano ya CAF Champions League. Akiwa kinara wa magoli na msaada mkubwa kwa timu yake, Mayele amethibitisha…

Read More

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League – CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup – CAFCCL) kwa msimu wa 2024/2025 imekuwa na mvuto mkubwa na ushindani wa hali ya juu. Vilabu kama Al Ahly, Pyramids FC, RS Berkane, Simba SC na AS FAR Rabat vimeonyesha ubora mkubwa, huku baadhi ya wachezaji wao wakionekana kuwa chachu ya mafanikio hayo. Kwa mwaka huu, CAF imeendelea na utaratibu wa kutambua wachezaji waliofanya vizuri zaidi katika michuano ya vilabu kwa kutoa tuzo ya CAF Interclub Player of the Year 2025. Tuzo hii hupewa mchezaji aliyeonyesha ubora wa kipekee, nidhamu,…

Read More

Serikalini ya Tanzania imetangaza Ajira Mpya zaidi ya 17,710 za walimu, Afya, Kilimo, Ufugaji na Uhandisi kupitia MDAs na LGAs ajira portal MDAs (Ministries, Departments and Agencies) ni taasisi za serikali kuu zinazohusika na utekelezaji wa sera, mipango na sheria za taifa. Kila wizara (Ministry) inasimamia sekta fulani kama elimu, afya au kilimo, huku idara na wakala (Departments and Agencies) wakitekeleza majukumu maalum chini ya wizara hizo. LGAs (Local Government Authorities) ni mamlaka za serikali za mitaa zinazohusika na utoaji wa huduma za kijamii moja kwa moja kwa wananchi katika maeneo yao. Hizi ni pamoja na halmashauri za miji, manispaa,…

Read More

Wazazi, walimu, na wanafunzi wengi nchini Tanzania wamekuwa na hamu kubwa ya kujua matokeo ya darasa la saba 2025 yatatoka lini. Kwa mujibu wa taarifa za awali, Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) linatarajia kutangaza matokeo hayo mwezi wa Oktoba 2025. Hii imekuwa ni desturi ya kila mwaka, ambapo baada ya mitihani kukamilika mwezi Septemba, NECTA huanza mchakato wa usahihishaji na uhakiki wa majibu kabla ya kuyatangaza rasmi. Kwa Nini Matokeo Hutoka Oktoba? Mchakato wa usahihishaji wa mitihani unachukua muda kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaoshiriki katika Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba (PSLE). NECTA huhakikisha kila karatasi ya…

Read More