Author: noteswpadmin

The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) is set to release the Standard Seven Results 2025 — officially known as the Primary School Leaving Examination (PSLE) or Matokeo ya Darasa la Saba 2025 — in the near future. The national exams were conducted on September 10 and 11, 2025, across all primary schools in mainland Tanzania and Zanzibar. This examination plays a vital role in the Tanzanian education system as it determines students’ progression to secondary schools or vocational training centers. When Will NECTA Release the 2025 Standard Seven Results? While NECTA has not yet provided an official date for…

Read More

Michuano ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) msimu wa 2025/2026 imekuwa yenye ushindani mkubwa, huku timu kutoka mataifa mbalimbali barani zikionesha kiwango cha juu cha soka ili kujihakikishia nafasi katika hatua ya makundi. Katika hatua hiyo ya mchujo, klabu nyingi zilipambana vikali nyumbani na ugenini, zikionesha ubora wa kiufundi, nidhamu ya kimchezo na maandalizi bora ya msimu. Mechi nyingi zilimalizika kwa matokeo finyu, huku zingine zikiamuliwa kwa mikwaju ya penalti, ishara ya ushindani uliozidi kuongezeka mwaka huu. Hali hii imeonyesha wazi kuwa Kombe la Shirikisho Afrika linazidi kuwa jukwaa muhimu kwa vilabu kutoka bara zima kuonesha…

Read More

Zifahamu timu zinazotoka bara la Africa ambazo zitashiriki michuano ya kombe la dunia kwa mwaka 2026 huko America. Hizi timu ni baada ya kufanya vizuri katika makundi yao na kuongoza makundi. Orodha ya Timu za Africa zitakazoshiriki Kombe la Dunia 2026 Soma pia: Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026

Read More

Klabu ya Yanga SC imefungua ukurasa mpya katika historia yake kwa kumtambulisha rasmi Pedro Gonçalves kama kocha mkuu mpya kwa msimu wa 2025/2026. Kocha huyu raia wa Ureno anakuja na uzoefu mkubwa wa kimataifa, akiwa amewahi kufanya kazi na timu za vijana na timu ya taifa ya Angola, ambapo alionyesha uwezo mkubwa wa kiufundi na nidhamu ya hali ya juu katika uongozi wa wachezaji. Safari ya Ukocha na Mafanikio Umaarufu wa Gonçalves ulianza kupanda mwaka 2018, alipoteuliwa kuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Angola U17, na mwaka uliofuata akapandishwa kuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Angola (Senior Team).…

Read More

Timu zilizofuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2025/2026 zimejumuisha klabu bora kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika baada ya kupambana vikali katika hatua za awali za mchujo. Mechi za awalimu zimekuwa nzuri na za kuvutia timu ndogo ambazo wengi hawakuzipenda ndizo ambazo zimeonyesha kiwango kikubwa na kuwa upinzani mkubwa. Orodha ya Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 – CAF Champions League Soma pia:

Read More

Serikali imetangaza Nafasi mpya za kazi za walimu 3,500 kwa mwaka 2025 kupitia MDAs na LGAs kwa lengo la kuongeza nguvu kazi katika shule za msingi na sekondari nchini. Ajira hizi ni sehemu ya juhudi endelevu za serikali katika kuboresha sekta ya elimu na kupunguza tatizo la upungufu wa walimu katika maeneo mbalimbali ya nchi. Walimu watakaopangiwa kupitia MDAs na LGAs watachangia katika kuinua ubora wa elimu kwa kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu bora katika mazingira salama na yenye ufanisi. Serikali imesisitiza kuwa mchakato huu unalenga kuhakikisha usawa wa upatikanaji wa walimu katika kila mkoa na halmashauri nchini. Bonyeza hapa kupata…

Read More

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Secretariat ya Ajira kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetangaza rasmi Nafasi mpya za kazi za ualimu kwa mwaka 2025. Ajira hizi zinahusisha walimu wa madaraja yote ikiwemo Daraja III A, Daraja III B, na Daraja III C, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha sekta ya elimu na kupunguza upungufu wa walimu katika shule za msingi na sekondari nchini. Walimu wa Madaraja Yote Wamenufaika Katika tangazo hilo, serikali imesisitiza kuwa nafasi hizo ni kwa walimu wa ngazi tofauti, ikiwemo: Kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa, walimu wote waliomaliza mafunzo…

Read More

Leo Jumamosi Mechi za Marudiano za mkondo wa pili wa hatua ya awali Klabu Bingwa na Kombe la shirikisho CAF. Baada ya mechi za mkondo wa kwanza kukamilika leo hii Baadhi ya timu za Tanzania Bara zinashuka tena dimbani kumenyana awamu ya pili. Mechi kubwa inayosubiriwa kwa hamu katika mzunguko huu wa pili ni kati ya yanga sc na Silver Strikers, Ni baada ya mkondo wa kwanza timu ya wananchi yanga sc kuchezea kichapo cha bao moja kwa sufuri na kupelekea kufukuzwa kwa kocha wao mkuu Roma Folz, wanachama pamoja na mashabiki wa Yanga wanahamu kubwa ya kushuhudia mechi iyo wakiwa…

Read More

Wamiliki wa ardhi nchini Tanzania sasa wanaweza kuangalia deni la kodi ya ardhi (Land Rent) kwa urahisi kupitia huduma za mtandaoni zinazotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Mfumo huu umeundwa ili kurahisisha huduma na kuondoa usumbufu wa kwenda ofisini. Kwa Kutumia Huduma za Mtandaoni 1. Tembelea tovuti ya Wizara ya Ardhi 2. Ingiza Taarifa za Kiwanja Chako 3. Chagua Mkoa na Wilaya 4. Pokea Makadirio ya Deni Soma pia:

Read More