Serikali ya Tanzania kupitia Secretariat ya ajira -Ajira portal imetangaza Nafasi mpya za kazi walimu kwa daraja la III A, B na C kwa mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuongeza idadi ya walimu katika shule za msingi na sekondari, na kuimarisha ubora wa elimu nchini. Ajira hizi zinalenga kuwapa fursa walimu wenye sifa zinazohitajika, ikiwa ni pamoja na walimu daraja III A, kwa ajili ya kujaza pengo lililopo katika masomo ya sayansi, hisabati, biashara na masomo mengine muhimu.
Incase your browser not showing or failed to view attached PDF file above click here to view or download PDF file
BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI YA AJIRA ZA WALIMU
Soma pia:
- Nafasi 17,710 za kazi Kutoka MDAs & LGAs, October 2025
- Mfano Barua ya Maombi ya Kazi UTUMISHI – Ajira Portal 2025
- Nafasi 3945 za Kazi Afisa Muuguzi Msaidizi kutoka MDAs na LGAs 2025
- Nafasi 292 za kazi Afisa Kilimo Msaidizi kutoka MDAs na LGAs 2025
- Nafasi 131 za kazi Mhasibu Daraja II kutoka MDAs na LGAs