Katika mwaka wa 2025, Serikali ya Tanzania imetangaza Nafasi mpya za Kazi sekta kada ya afya kwenye MDA’s (Ministries, Departments & Agencies) na LGAs (Halmashauri za Serikali za Mitaa) ili kukidhi mahitaji ya huduma za afya ngazi ya taifa na maeneo ya kijiji. Tangazo la ajira hizo limeonyesha nafasi za kada za afya, wahudumu wa afya na wataalamu wa sekta mbalimbali kwa Astashahada, stashahada na Shahada. ikilenga kupunguza upungufu wa watumishi wa afya na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Soma pia: Nafasi 17,710 za kazi Kutoka MDAs & LGAs, October 2025