TAKUKURU (PCCB) imetangaza rasmi majina ya walioitwa kwenye usaili wa ajira kwa mwaka 2026, ambapo waombaji waliochaguliwa wanatakiwa kufika kwenye vituo vya usaili wakiwa na nyaraka muhimu kwa ajili ya uhakiki na utambuzi. Wasailiwa wote wanashauriwa kufika kwa wakati kulingana na tarehe, muda na kituo walichopangiwa ili kushiriki hatua hiyo muhimu ya mchakato wa ajira.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Mambo muhimu ya kwenda navyo kwenye usaili wa Takukuru PCCB 2026:
- Vyeti vya taaluma (Academic Certificates)
- Cheti cha kuzaliwa (Birth Certificate)
- Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au kitambulisho kingine kinachotambulika
- Nakala za vyeti (Photocopies)
- Wasifu binafsi (CV) ikiwa utahitajika
- Kalamu na vifaa muhimu vya usaili
Jinsi ya Kuangalia Majina ya Walioitwa Kwenye usaili (Interview) PCCB TAKUKURU
- Nenda kwenye tovuti rasmi ya TAKUKURU
- Tafuta sehemu ya Ajira
- Bonyeza tangazo la usaili la mwaka 2026