Majina ya kuitwa kazini Utumishi leo 2026 ni taarifa muhimu kwa waombaji wa ajira za Serikali waliokuwa wakisubiri kwa hamu matokeo ya usaili. Kupitia tovuti rasmi ya Ofisi ya Rais – Utumishi wa Umma na Utawala Bora, waombaji wanaweza kuona orodha ya majina ya waliofanikiwa kuitwa kazini kwa kada na taasisi mbalimbali za umma. Tangazo hili linaonyesha hatua ya mwisho ya mchakato wa ajira na linawataka walioteuliwa kufuata maelekezo yaliyotolewa, ikiwemo tarehe ya kuripoti kazini, nyaraka muhimu na kituo cha kazi walichopangiwa.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
PDF za Majina walioitwa kazini Utumishi
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 20-01-2026
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 20-01-2026
Soma pia: PDF za walimu walioitwa kazini Ajira Portal 2025 – 2026