Makundi ya Kombe la Dunia 2026 yamepangwa rasmi, na mashabiki wa soka duniani wanaingia kwenye hekaheka mpya kuelekea mashindano makubwa zaidi katika historia ya FIFA World Cup. Michuano ya mwaka 2026 itahusisha idadi kubwa zaidi ya timu, mazingira mapya ya ushindani, na mfumo ulioboreshwa ambao unaipa kila timu nafasi ya kuonyesha ubora na ubunifu wa kiufundi.
Kupangwa kwa makundi haya kunatoa taswira mpya ya ushindani kutoka mabara yote, huku mataifa kongwe na mapya yakijipanga kutafuta nafasi katika hatua za juu. Hapa chini tumekuwekea orodha ya makundi yatakayocheza kombe la dunia 2026.

Orodha ya Makundi ya Kombe la Dunia 2026 – FIFA World Cup
GROUP A
- Mexico
- South Africa
- Korea Republic
- Winner play off (CZE,DEN,IRL,MKD)
GROUP B
- Canada
- Winner play off (BIH,ITA,NIR,WAL)
- Qatar
- Switzerland
GROUP C
- Brazil
- Morocco
- Haiti
- Scotland
GROUP D
- USA
- Paraguay
- Australia
- Winner play off (KDS,ROU,SVK,TUR)
GROUP E
- Germany
- Curacao
- Cote D’ivoire (Ivory Coast)
- Ecuador
GROUP F
- Netherlands
- Japan
- Winner play off (ALB,POL,SWE,UKR)
GROUP G
- Belgium
- Egypt
- IR IRAN
- New Zealand
GROUP H
- Spain
- Cape Verde
- Saudi Arabia
- Uruguay
GROUP I
- France
- Senegal
- Winner play off (BOL,IRQ,SUR)
- Norway
GROUP J
- Argentina
- Algeria
- Australia
- Jordan
GROUP K
- Portugal
- Winner play off (cod,jam,ncl)
- Uzbekistan
- Colombia
GROUP L
- England
- Croatia
- Ghana
- Panama
Soma pia: Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026