Kamishna wa jeshi la Magereza leo ametangaza majina ya vijana waliochaguliwa kufanya usaili wa jeshi la magereza Tanzania.
Vijana wote walioomba wanatakiwa kuangalia majina yao kama wamechaguliwa haraka iwezekanavyo ili kujiandaa na usaili huo.
Orodha hiyo ya majina inapatikana katika PDF >> BONYEZA HAPA KUPATA MAJINA WALIOCHAGULIWA USAILI JESHI LA MAGEREZA