Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza droo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2025-2026 leo hii 3 Novemba 2025, jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Tukio hilo kubwa limewakutanisha viongozi wa klabu zilizofuzu, makocha, na wawakilishi wa vyama vya soka kutoka nchi mbalimbali barani Afrika.

Makundi ya Klabu Bingwa Afrika 2025 2026
Kundi A
- RS Berkane
- Pyramid Fc
- Rivers United
- Power Dynamos Fc
Kundi B
- Al Ahly Fc
- Yanga sc
- AS Far
- Js Kabylie
Kundi C
- Mamelodi Sundowns
- Al Hilal sc
- Mc Alger
- Fc Saint Eloi Lupopo
Kundi D
- Espérance Sportive de Tunis
- Simba sc
- Atletico Petroleos
- Stade Malien
Droo ya makundi ya CAF Champions League 2025/2026 jijini Johannesburg, Afrika Kusini ni tukio muhimu litakaloamua safari ya vilabu kuelekea hatua ya mtoano. Ni kipindi cha kusubiri kwa hamu kuona ni timu zipi zitakutana mapema na nani ataibuka kuwa tishio katika msimu huu mpya wa mashindano ya kifahari zaidi barani Afrika.
Soma pia: Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2025/2026