Mashabiki wa soka barani Afrika leo tarehe 20 Septemba 2024 wanatarajia kushuhudia pambano kali kati ya Simba SC ya Tanzania na Gaborone United ya Botswana katika hatua za awali za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huu utafanyika kwenye Uwanja wa Francistown, na utapigwa majira ya saa 8:00 usiku kwa saa za Tanzania.
Soma pia: Matokeo Simba vs Gaborone United Leo – CAFCL Champions league