Mbeya University of Science and Technology (MUST) inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kipekee kujiunga na taasisi hiyo katika nafasi mbalimbali. Fursa hizi zinalenga kuongeza nguvu kazi yenye ujuzi na ubunifu, ili kuendeleza ubora wa elimu, utafiti na huduma zinazotolewa na chuo.
PAKUA HAPA PDF FILE LA TANGAZO
Waombaji wanahimizwa kuwasilisha maombi yenye taarifa sahihi na nyaraka zinazohitajika, huku wakizingatia taratibu na vigezo vilivyowekwa, ili kuchangia kwa ufanisi maendeleo ya kitaaluma na ya kijamii kupitia MUST.