Leo wapenzi wa burudani watashuhudia Mechi kali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga (Kariakoo Derby) itakayochezwa uwanja wa Benjami Mkapa. Timu zote zimefanya usajili mzuri kuongeza wachezaji pamoja na kupunguza wachezaji waliokosa nafasi katika kikosi cha kwanza na cha pili.
Matokeo ya Mechi ya Ngao ya Jamii Simba vs Yanga leo
Kutokana na timu hizi kujiandaa vizuri pamoja na usajili uliofanyika basi tutegemee timu kuwa na ushindani mkubwa tofauti na awali, Hivyo timu yeyote itakayo fanya makosa leo ipo hatarini kupoteza mechi hii.
Ikumbukwe kuwa Yanga imeifunga simba mechi 5 mfululizo, Je leo hii simba atakataa uteja wa kufungwa mechi ya sita mfululizo.?
Soma pia: