Timu zilizofuzu Michuano ya Kombe la Dunia 2026 ni zile zilizopata nafasi ya kushiriki michuano hiyo mikubwa ya soka duniani itakayofanyika kwa mara ya kwanza katika nchi tatu: Marekani, Kanada na Mexico. Mashindano haya yatashirikisha jumla ya timu 48 badala ya 32 kama ilivyokuwa awali, hivyo kutoa nafasi kwa mataifa mengi zaidi kushiriki.
Kufikia sasa, mataifa kadhaa kutoka mabara mbalimbali kama vile Amerika Kusini (CONMEBOL), Ulaya (UEFA), Afrika (CAF), Asia (AFC), na Oceania (OFC) yamejihakikishia tiketi zao kufuatia mechi za kufuzu zinazoendelea au kumalizika.
Orodha ya timu Zilizofuzu Hadi Kombe la Dunia (World Cup) 2026
- Argentina
- Brazil
- Colombia
- Ecuador
- Uruguay
- Paraguay
- Morocco
- Japan
- Korea Kusini
- Iran
- Jordan
- Uzbekistan
- Australia
- New Zealand
- Canada (Mwenyeji)
- Mexico (Mwenyeji)
- Marekani (USA) (Mwenyeji)
Soma pia: