Matokeo ya mechi kati ya Taifa stars (Tanzania) na Mauritania unaochezwa benjamin Mkapa standium saa mbili usiku 08:00 pm.
Matokeo Mchezo kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Mauritania umemalizika kwa Taifa stars kuibuka ushindi 1-0, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Taifa stars ndio anae ongoza msimamo wa kundi B akifuatiwa na Burkina Faso
Nambari | Timu | P | D | L | GF | GA | GD | Pts |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | Tanzania | 2 | 0 | 0 | 4 | 0 | +4 | 6 |
2 | Madagascar | 1 | 1 | 0 | 2 | 1 | +1 | 1 |
3 | Mauritania | 0 | 1 | 1 | 0 | 2 | -1 | 1 |
4 | Burkina Faso | 0 | 0 | 1 | 0 | 2 | -2 | 3 |
5 | Central Africa | 0 | 0 | 1 | 2 | 4 | -2 | 0 |
Uchambuzi wa Mchezo
Taifa Stars walionyesha kiwango cha juu cha soka, wakimiliki mpira kwa asilimia 60 na kufanya mashambulizi mengi langoni mwa Burkina Faso. Clement mzize alionyesha ufanisi mkubwa alihusika katika mabao yote mawili.
Tanzania imejiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu kwa hatua ya robo fainali. Kocha Hemed Suleiman ameongeza matumaini kwa kusema kuwa “ushindi huu ni hatua muhimu, lakini bado tuna kazi kubwa mbele.
Soma pia: Taifa stars vs Mauritania: Mechi CHAN leo 2025 Kundi B