Hapa tumekuandalia Orodha ya wachezaji wapya waliosajiliwa na Yanga sc dirisha hili kubwa msimu ujao 2025-2026
Klabu ya Yanga SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu mpya kwa kusajili wachezaji wapya wenye vipaji na uzoefu mkubwa. Miongoni mwa nyota waliowasili ni pamoja na mshambuliaji hatari kutoka Afrika Magharibi, beki wa kati mwenye nguvu na uwezo wa kuongoza safu ya ulinzi, pamoja na kiungo mahiri anayeweza kutengeneza nafasi na kudhibiti mchezo.
Usajili huu unaonesha dhamira ya Yanga kuendeleza ubabe wake katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara na kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa kama Ligi ya Mabingwa Afrika. Mashabiki wa Yanga wanatarajia kuona ushindani mkali zaidi na mafanikio makubwa kutokana na ujio wa nyota hao wapya.
Orodha ya wachezaji wapya waliosajiliwa na Yanga 2025/26
- Lassine Kouma
- Moussa Balla Conte
- Offen Chikola
- Abdulnasir Abdallah Mohamed
- Andy Boyeli
- Celestine Ecua
- Mohamed Doumbia
Soma pia: