Watumiaji wa TTCL, fuatilia salio la vifurushi vyako kwa njia hizi:
Hatua za Kuangalia Salio:
- Fungua sehemu ya kupiga simu
- Ingiza:
*148*30#
- Chagua chaguo la “Taarifa za Salio”
- Utaona salio la internet, dakika, au SMS
Njia Mbadala: TTCL App
Pakua App rasmi ya TTCL Huduma kufuatilia matumizi kwa urahisi.
Maswali ya Haraka:
- App ya TTCL inapatikana wapi? ➝ Google Play
- Naweza kuangalia salio bila intaneti? ➝ Ndiyo, kupitia USSD
Soma pia: