Una kifurushi Halotel? Hii ndiyo njia bora ya kuangalia salio lako la vifurushi.
Hatua za Kuangalia Salio na vifurushi Halotel:
- Fungua sehemu ya kupiga simu
- Ingiza:
*148*66#
- Chagua “1. Taarifa za Salio”
- Taarifa zitaoneshwa papo hapo
Njia Mbadala: HaloPesa App
Pakua HaloPesa App kuona salio la kifurushi na kufanya miamala.
Maswali ya Haraka:
- Naweza kuangalia salio la internet? ➝ Ndiyo
- Naweza kutumia app? ➝ Ndiyo, inapatikana Play Store
Soma pia: