Kununua umeme wa TANESCO (luku) kwa simu ni njia rahisi, salama na ya haraka ya kuhakikisha unapata huduma bila usumbufu. Hapa chini tumekuandalia hatua za kufuata kulingana na huduma ya malipo ya simu unayotumia:
Hatua za kuafuata Jinsi ya kununua na kulipia Umeme Luku TANESCO
Jinsi ya Kununua Umeme (Luku) TANESCO kwa M-Pesa
- Piga *150*00#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua Luku (Umeme)
- Chagua namba 1 (Namba ya Malipo)
- Ingiza namba ya mita
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha malipo yako
Jinsi ya Kununua Umeme (Luku) TANESCO kwa Tigo Pesa (Mixx by Yas)
- Piga *150*01#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua Malipo ya Luku (Umeme)
- Ingiza namba ya mita
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha malipo yako
Jinsi ya Kununua Umeme (Luku) TANESCO Lipa kwa Airtel Money
- Piga *150*01#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua Malipo ya Luku (Umeme)
- Ingiza namba ya mita
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha malipo yako
Jinsi ya Kununua Umeme (Luku) TANESCO Lipa kwa Halopesa
- Piga *150*88#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua Malipo ya Luku
- Ingiza namba ya mita
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha malipo yako
Kwa kutumia njia hizi, unaweza kununua umeme wa TANESCO kwa urahisi ukiwa nyumbani au popote ulipo. Hakikisha unatunza risiti au ujumbe wa uthibitisho baada ya kila malipo.
✅ Meta Description: