Kulipia maji kwa njia ya simu sasa ni rahisi na haraka zaidi. Iwe unatumia M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa (Mixx by Yas), au Halopesa, unaweza kufanya malipo yako popote ulipo.
Hatua za kulipia maji Kwa simu mitandao yote ya simu
Fuata hatua hizi rahisi kuhakikisha unalipia huduma ya maji kwa wakati:
Jinsi ya kulipia Maji kwa M-Pesa
- Piga *150*00#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
- Chagua namba 1 (Namba ya Malipo)
- Ingiza Namba ya Malipo (99xxxxxxxxxx)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha malipo yako
Jinsi ya kulipia Maji kwa Tigo Pesa (Mixx by Yas)
- Piga *150*01#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
- Ingiza Namba ya Malipo (99xxxxxxxxxx)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha malipo yako
Jinsi ya kulipia Maji kwa Airtel Money
- Piga *150*01#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
- Ingiza Namba ya Malipo (99xxxxxxxxxx)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha malipo yako
Jinsi ya kulipia Maji kwa Halopesa
- Piga *150*88#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua namba 7 (Malipo ya Serikali)
- Ingiza Namba ya Malipo (99xxxxxxxxxx)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha malipo yako
Kwa njia hizi, hutahitaji kusafiri wala kusubiri foleni ndefu. Lipa kwa urahisi kutoka mahali popote, muda wowote!
Soma pia: