Ratiba ya CHAN 2025 imewekwa rasmi na itachezwa kuanzia Agosti 2 hadi Agosti 30, 2025 katika nchi za Afrika Mashariki: Tanzania, Kenya, na Uganda , ikiwa mechi ya ufunguzi itakuwa kati ya mwenyeji Tanzania na Burkina Faso katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam saa 20:00.
Ratiba ya Mechi za CHAN 2025 – Kundi A
Tarehe Saa Timu ya Kwanza vs Timu ya Pili Jumapili 3 Agosti 15:00 Kenya vs Congo DR 18:00 Morocco vs Angola Alhamisi 7 Agosti 16:00 Congo DR vs Zambia 19:00 Angola vs Kenya Jumapili 10 Agosti 15:00 Kenya vs Morocco 18:00 Zambia vs Angola Alhamisi 14 Agosti 17:00 Morocco vs Zambia 20:00 Angola vs Congo DR Jumapili 17 Agosti 15:00 Congo DR vs Morocco 15:00 Zambia vs Kenya
Ratiba ya Mechi za CHAN 2025 – Kundi B
Tarehe Saa Timu ya Kwanza vs Timu ya Pili Jumamosi 2 Agosti 20:00 Tanzania vs Burkina Faso Jumapili 3 Agosti 20:00 Madagascar vs Mauritania Jumatano 6 Agosti 17:00 Burkina Faso vs CAR 20:00 Mauritania vs Tanzania Jumamosi 9 Agosti 17:00 CAR vs Mauritania 20:00 Tanzania vs Madagascar Jumatano 13 Agosti 17:00 Madagascar vs CAR 20:00 Mauritania vs Burkina Faso Jumamosi 16 Agosti 20:00 Burkina Faso vs Madagascar 20:00 CAR vs Tanzania
Ratiba ya Mechi za CHAN 2025 – Kundi C
Tarehe Saa Timu ya Kwanza vs Timu ya Pili Jumatatu 4 Agosti 17:00 Niger vs Guinea 20:00 Uganda vs Algeria Ijumaa 8 Agosti 17:00 Algeria vs South Africa 20:00 Guinea vs Uganda Jumatatu 11 Agosti 17:00 South Africa vs Guinea 20:00 Uganda vs Niger Ijumaa 15 Agosti 17:00 Guinea vs Algeria 20:00 Niger vs South Africa Jumatatu 18 Agosti 20:00 Algeria vs Niger 20:00 South Africa vs Uganda
Ratiba ya Mechi za CHAN 2025 – Kundi D
Tarehe Saa Timu ya Kwanza vs Timu ya Pili Jumanne 5 Agosti 17:00 Congo vs Sudan 20:00 Senegal vs Nigeria Jumanne 12 Agosti 17:00 Senegal vs Congo 20:00 Sudan vs Nigeria Jumanne 19 Agosti 20:00 Nigeria vs Congo 20:00 Sudan vs Senegal
Ratiba ya Mchezo ya Mtoano (Knockout Stage)
Tarehe Saa Timu ya Kwanza vs Timu ya Pili Ijumaa 22 Agosti 17:00 TBC vs TBC 20:00 TBC vs TBC Jumamosi 23 Agosti 17:00 TBC vs TBC 20:00 TBC vs TBC Jumanne 26 Agosti 17:30 TBC vs TBC 20:30 TBC vs TBC Ijumaa 29 Agosti 18:00 TBC vs TBC Jumamosi 30 Agosti 18:00 TBC vs TBC
Soma pia: