Unatafuta fomu za kujiunga na vyuo vya ualimu kwa mwaka wa masomo 2025/2026? Makala hii itakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kupakua joining instructions, mahitaji ya msingi, na viungo rasmi vya vyuo vya ualimu nchini Tanzania.
Vyuo vya Ualimu Tanzania
Tanzania ina zaidi ya vyuo 35 vya ualimu vya serikali pamoja na vingine vya binafsi vinavyopokea wanafunzi wa ngazi mbalimbali:
- Ngazi ya Cheti (Certificate in Teacher Education – CTE)
- Ngazi ya Diploma (Diploma in Secondary/Primary Education)
- Ngazi ya Shahada (Bachelor Degree in Education
Fomu za kujiunga na vyuo vya ualimu joining instructions 2025-2026
Hizi hapa pdf za Fomu za kujiunga na Vyuo vya ualimu (Joining Instructions) kwa mwaka wa masomo 2025-2026:
BUNDA TC.pdf
- BUSTANI TC.pdf
- BUTIMBA TC1.pdf
- BUTIMBA TC2.pdf
- DAKAWA TC.pdf
- ILONGA TC.pdf
- KABANGA TC.pdf
- KASULU T.C..pdf
- KATOKE TC.pdf
- KINAMPANDA TC.pdf
- KITANGALI TC.pdf
- KLERRUU TC.pdf
- KOROGWE TC.pdf
- MAMIRE TC.pdf
- MANDAKA TC.pdf
- MARANGU TC.pdf
- MHONDA TC.pdf
- MONDULI TC.pdf
- MOROGORO TC.pdf
- MPUGUSO TC.pdf
- MPWAPWA TC.pdf
- MURUTUNGURU TC.pdf
- NACHINGWEA TC.pdf
- NDALA TC.pdf
- PATANDI TC.pdf
- SHINYANGA TC.pdf
- SINGACHINI TC.pdf
- SONGEA TC.pdf
- SUMBAWANGA TC.pdf
- TABORA TC.pdf
- TANDALA TC.pdf
- TARIME TC.pdf
- TUKUYU TC.pdf
- VIKINDU TC.pdf
Kupata fomu za kujiunga na vyuo vya ualimu ni hatua muhimu kwa mwanafunzi yeyote anayeanza safari ya kuwa mwalimu. Hakikisha unazipakua kutoka vyanzo rasmi na kuzisoma kwa makini kabla ya kuanza safari ya masomo.
Soma pia: